Kujifunza zaidi ni vizuri kuliko kuzungumza zaidi.
Kadiri unavyozidi kuzungumza zaidi ndivyo unavyozidi kuwaonyesha tabia Yako na ndivyo utakavyozidi kuharibika na kupoteza mwelekeo.
Kusikiliza zaidi ni njia ya kujifunza zaidi ya kile ukijuacho. Ndipo maarifa mapya huzaliwa kwenye fahamu zetu.
Mungu akusaidie uwe mtulivu.
Na Ev. Mhugo Hantish

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni